Habari zenu wapenwa mi nna ujauzito wa miezi minne tatizo nilonalo ni kwamba naenda haja ndogo mara kwa mara hasa usiku na nikiuhisi tu mkojo nakua navimba chini ya kitovu na kuuma kidogo ila nikishakojoa tu nakua wa kawaida, je hili ni tatizo au kawaida kwa wajawazito?