Inaitwa anxiety kwenye public...
the boss, je unafahamu matibabu ya "anxiety kwenye public" .
kitaalamu inaitwa IBS , mi inanitokea nikiwa nasubiria matokeo yangu ya mtihani .. i keep on refreshing page kucheck matokeo kama yameingia but for me si haja.. bali stress ulcers .. baada ya stress kwisha zinapotea.