Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaaaaHata Miss Natafuta asiposurrender hiyo papuchi yake atakuja kuzaa at 40!
Inawezekana kwa mwanamke kupata ujauzito kwa umri tajwa...Hello, naombeni msaada wa kitaalam, je kuna matatizo yoyote mwanamke kuzaa akiwa na miaka 40? Kama yapo ni yapi na umri wa ukomo kwa mwanamke kuzaa kiafya ni upi?
Mh!iyo katika dp,'wote wa kwako'?
Mmmhh kauliza swali mmeanza kuchunguza mengine jamani....mambo mengine waachieni baba na mama zenu jamani!iyo katika dp,'wote wa kwako'?
Ok nimekuelewa. Shukran sana.Inawezekana kwa mwanamke kupata ujauzito kwa umri tajwa...
Isipokuwa kitabibu huwa haishauriwi sana mwanamke kusubiri hadi umri tajwa ili abebe mimba...
Kadiri umri ungezekavyo ndivyo hata afya ya mayai nayo hupungua, si mayai ya mwanamke tu bali hata mbegu za kiume (assumption ni kuwa mara nyingi mwanaume huwa mkubwa kiumri kuliko mwanamke)...
Sasa hebu jiulize zao la yai na mbegu dhaifu zitapelekea dhaifu pia (chenye ulemavu au matatizo ya kijenetiki)...
Kuna complications nyingine huwa ni kubwa kwa mwanamke mwenye umri 35+ kama kisukari cha mimba, mimba kuchomoka n.k...