Kubeba ujauzito at 40

Sheilerz

Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
69
Reaction score
87
Hello, naombeni msaada wa kitaalam, je kuna matatizo yoyote mwanamke kuzaa akiwa na miaka 40? Kama yapo ni yapi na umri wa ukomo kwa mwanamke kuzaa kiafya ni upi?
 
Hello, naombeni msaada wa kitaalam, je kuna matatizo yoyote mwanamke kuzaa akiwa na miaka 40? Kama yapo ni yapi na umri wa ukomo kwa mwanamke kuzaa kiafya ni upi?
Inawezekana kwa mwanamke kupata ujauzito kwa umri tajwa...

Isipokuwa kitabibu huwa haishauriwi sana mwanamke kusubiri hadi umri tajwa ili abebe mimba...

Kadiri umri ungezekavyo ndivyo hata afya ya mayai nayo hupungua, si mayai ya mwanamke tu bali hata mbegu za kiume (assumption ni kuwa mara nyingi mwanaume huwa mkubwa kiumri kuliko mwanamke)...

Sasa hebu jiulize zao la yai na mbegu dhaifu zitapelekea dhaifu pia (chenye ulemavu au matatizo ya kijenetiki)...

Kuna complications nyingine huwa ni kubwa kwa mwanamke mwenye umri 35+ kama kisukari cha mimba, mimba kuchomoka n.k...
 
Zaa tu, mbona poa, tena wa uzeeni huyo akutulize mama..safi sana..
 
Ok nimekuelewa. Shukran sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…