Kubebana.....

Kubebana.....

Ibrahimu Juma

Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
39
Reaction score
2
Huu msemo unatumiwa sana MUCE,wakuu wa MUCE hasa watalaamu wa kiswahili,tutafutieni msemo mzuri ambao nikiutamka hautafikirika kwa fikira tata,binafsi haka kamsemo sikapendi.....
 
Back
Top Bottom