Kubebwa kwa Liverpool

Kubebwa kwa Liverpool

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Jumapili wenzie wote waliocheza Manchester United, Burnley, Leicester City wanacheza kesho ila yeye kapumzishwa mpaka keshokutwa wakati bado ana mechi nyingi ajacheza kama wenzie.
 
Jumapili wenzie wote waliocheza Manchester United, Burnley, Leicester City wanacheza kesho ila yeye kapumzishwa mpaka keshokutwa wakati bado ana mechi nyingi ajacheza kama wenzie.
Itakuwa upo kwenye treni ya kwenda moshi sasa umepiga vyombo ukaamua kuja kuandika upuuzi huku, laza siti ulale kijana
 
Ni kweli jamaa wanabebwa sana hakukuwa na sababu ya wao kucheza alhamisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jumapili wenzie wote waliocheza Manchester United, Burnley, Leicester City wanacheza kesho ila yeye kapumzishwa mpaka keshokutwa wakati bado ana mechi nyingi ajacheza kama wenzie.
Wakati mwingine ni kwa ajili ya haki za matangazo ya kuoneshwa mechi live, watu wa media na wadhamini huomba mechi za timu flani zenye watazamaji wengi zipishanishwe ili waweze kuzionesha siku tofauti na watazamaji wasikose mechi flani sababu wana angalia nyingine.

Wakati mwingine hutegemea na timu uanyo cheza nayo, kwa mafano ile Wolves kucheza replay ya FA baada ya mechi yao ya kwanza kutoka sare imekuja kubadili ratiba league matches.

Unaweza kufuatilia mitandaoni wanaweka sababu siku zingine.
 
Back
Top Bottom