Nasikia ni kumuharibu mtoto mdogo kama ananyonya harafu mwanamke anakuwa sio mwaminifu katika mahusioni..sijui ni wote Mke/mme au Mke
wajuzi watatuhabarisha !
unajua sisi watu wa zamani tulikuwa tunalea kikwelikweli mama akijifungua wanatengana mahusiano ya kimapenzi na baba mpaka miaka miwili au zaidi mtoto akue aache ziwa kabisa,baba alikuwa anavumilia wala hatembei nje muda wote huo ndiyo maana tulikuwa na afya za kweli siyo sasa mama hata nyuzi hazijapona vizuri anaanza kisa anshindana na baba mtambemenda mtoto hapo mwisho atakuwa fundi viatu na maneno mengi urefu futi tatu na nusu
kwahiyo mke na mume wakilibeneka wao kwa wao haina shida eeh?Nasikia ni kumuharibu mtoto mdogo kama ananyonya harafu mwanamke anakuwa sio mwaminifu katika mahusioni..sijui ni wote Mke/mme au Mke
wajuzi watatuhabarisha !
Kwani si hata sasa hivi ndo hivo?Teheehee tehe
Wanaume mmesoma hapo!
kwahiyo mke na mume wakilibeneka wao kwa wao haina shida eeh?