Habari wanajamvi, kama tujuavyo kila mmoja wakati ukisogea huhita kuwa na jiko...hivyo yatupasa kufahamu baadhi ya mambo mhimu ndani na nje ya hilo jiko. Hvyo jamani mimi leo niko hapa kuombeni mnifahamishe kwa kadiri mjuavyo kuhusu hili neno "KUMBEMENDA MTOTO" ndo nini maana yake? Maoni yenu plz...
Kubemenda mara nyingi hutokana na joto la mama na haswa linalosababishwana mimba..ndio maana waswahili hushauriwa wasifanye tendo la ndoa for at least 6 months..hii ni kwasababu katika kipindi hicho ambacho mama amejifungua mzunguko wake uvurugika na hivyo ni rahisi kupata mimba tena...hivyo ningependa ufamu kuwa mama akishamaliza siku arobaini tangu ajifungue unaweza kutana naye kimwili ila jitahidi umwage nje au kama huwezi utumie condom..pamoja na hayo yote tukirudi kwenye mada ya kubememda hata joto la miili yenu mara baada ya kufanya mapenzi au maji maji yatokanayo na ngono si mazuri kwa mtoto na huweza sababisha hali hiyo. unachoshauriwa muwe wasafi kadiri muwezavyo katika hili..yaani msimshike mtoto baada ya ngono mpaka mtakapooga na kuwa safi hata shuka mlilotumia ni vyema makabadili..kubemenda saa nyingine kunaweza sababishwa hata na house girl kama ana mimba bila ya wewe mama kujua. kumbuka joto la mwenye mimba si zuri kwa mtoto.

hii iko kisayansi zaidi, kwa uchunguzi niliofanya,
Let's take example: Lizy unapotaka ku-do na mwenzio mnaanza kwanza romance na pale wote at least mnasisimka, unalegea, unaloa, then mnaanza kulana.
so as unaposhikwa na kusisimka, na kulegea pale kuna CHEMICAL REACTION which takes place inside your blood, ambayo inabadili hata ile PROTEIN iliyoko kwenye maziwa so na hivyo unapomnyonyesha anakuwa anakunywa maziwa ambayo was converted to mo than milk ndo mana yanamdhuru mtoto.
ANGALIZO: Nawashauri watu kama Lizy na Kijani pindi mnapokutana na hao baba watoto jizuieni/jikazeni msilegee wala kusisimka ili chemical reaction isi-take place, otherwise mkishindwa kujizuia basi pindi mmalizapo tendo hilo kuu ukaoge na ukae kama saa3 ndo unyonyeshe na pia zuia kupata mimba, ........otherwise g9t loo......ls
Lizzy, upo?
Hii mifano sasa ndg "peacbm"
Ila nimekusoma...... ahsante kwa mfano wa vitendo.
kuni , mafuta ya taa na kibiriti....