Una uhakika mkuu? Alipokuwa Appolo mara ya kwanza tunaambiwa alilipiwa mwanzoni then wakamtelekeza! Kama hata this tym amelipiwa hebu thibitisha walau kwa nukuu ya any reliable source!Tangu amwagiwe tindikali kwa sababu ambazo hadi leo hazijulikani kutokana na kujitokeza madai mbali mbali kuanzia ugoni hadi uanaharakai, Mwandishi Saidi Kubenea amekuwa akienda India kila mara kutibiwa kwa gharama za serikali. Je hii ni takrima, wajibu au kukwepa lawama? Je ni wangapi wanaumia kazini na serikali haiwapi upendeleo kama huu isitoshe kwa mtu ambaye si mtumishi wake? Kunani nyuma ya pazia jamani?
GO TE HELL KUBENEA umbea umekuzidi!:A S 465: