Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Sep 12, 2020 #41 Hujatolewa na wandishi wewe . Ulitoa mp 10 watoto wa mjini wakaingia kakzini na kugeuza case. Soma ukweli wako acha kujiliza. Wenzako WALIPOKWA na case pale kisutu ilikuwa unadhura mlimani city ukijidai umesusa
Hujatolewa na wandishi wewe . Ulitoa mp 10 watoto wa mjini wakaingia kakzini na kugeuza case. Soma ukweli wako acha kujiliza. Wenzako WALIPOKWA na case pale kisutu ilikuwa unadhura mlimani city ukijidai umesusa
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Sep 12, 2020 #42 Asimwage chozi arudishe pesa alizopewa na maccm kuunga juhudi alafu kawalaghai na kukimbilia act....... Sinaga huruma kabisa na wasaliti..... Wangembakisha huko huko ndani
Asimwage chozi arudishe pesa alizopewa na maccm kuunga juhudi alafu kawalaghai na kukimbilia act....... Sinaga huruma kabisa na wasaliti..... Wangembakisha huko huko ndani
Mastamind JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,304 Reaction score 830 Sep 12, 2020 Thread starter #43 mjingamimi said: Umeandika kiushabiki sana. Ila kaa ukijua dhulma HAIDUMU Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app Click to expand... By Tecno S6Edge
mjingamimi said: Umeandika kiushabiki sana. Ila kaa ukijua dhulma HAIDUMU Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app Click to expand... By Tecno S6Edge
Watery JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 2,718 Reaction score 3,471 Sep 12, 2020 #44 Kahamia ACT hamna kiongozi apo
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Sep 12, 2020 #45 Ndiyo ajue shetani hana rafiki