Aaah kumbe ni kubet!Arsenal
PoaAdmin plz n add kwenye group la kubet 0762281651
SimbaWacheni maneno........Ngurumo yake hakuna asiyefahamu , mwamkana hadharani japo mioyoni mwaufahamu wake uwezo... SIMBA bingwa msimu huu jamani.....kombe hilo mitaa ya Msimbazi.
kwa Uingereza....jogoo lilodharauliwa sasa linaurudia ubingwa wake nani kama LIVERPOOL.....you'll never walk alone
Kuweni makini niliwaambia......
Arsenal wakichukua ubingwa nahama nchi.....Arsenal
Admin naomba na mm uniadd kwenye group la kubet
Inamaana at a akichukua Nottingham forests atuchukua ubingwa?Mourinho hana mpinzani UK
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Arsenal