Kubeti: Huu Ndio mrejesho yangu niingie kwenye mchezo huu miezi 4 ilopita!!

Sio bongo tu, makampuni ya ku bet yamevamia Afrika kwa fujo sana, kuanzia Nigeria, Kenya, Cameroon huko n.k yameona ndio njia rahisi ya kuvuna pesa badala ya kuwekeza kwenye biashara nyingine ambazo zingesaidia jamii kidogo, wananchi na serikali zetu jinsi walivyo, mpaka waje kushtukia madhara ya hii kitu, wamekamua sana
Extent yake haionekani sasa hivi sababu wana bet online, ila ingekuwa wanapanga foleni kama ilivyokuwa mwanzo ndio tungeshuhudia vizuri
 
Umeshtuka wewe
 
Leo in tarehe 30 July 2017.
 
Kubeti ni ulevi. Acha kudanganya umma.
Mchezo Wa kubeti uko hivi, ukipatia Mara 3 unaliwa Mara 10.
Yani 30% ni Winnin stakes.
Then 70% and above ni Loosing stakes.
Hizo percent ni zako wewe na wenzako mnaoweka stake under 5k nakutegemea kupata hela nyingi, cheza mechi za uhakika chini ya 3 weka stake ya kutosha zaidi ya 50k then uje na mrejesho humu. Usibet ilimradi unabet, bet kwa team unazozijua na mpinzani wake hakikisha unamjua vema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et mathematical Formula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waachie wenye bahati zao wabahatike,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…