Kubeti ni faida au hasara?

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Nambieni wadau kubashiri mechi NI faida au hasara?
 
Ni hasara, sio mpira tu, michezo yote ya kubahatisha (kamari) ni faida kwa mchezeshaji, faida kidogo ndo inarudi kwa mchezaji mwenye bahati kati ya wengi walioliwa" kwa ujumla ni mchezo haramu'
 
Kamari ndo jina halisi, Kubeti jina la kuzubaisha wazee wasijue kama watoto wao ni wacheza kamari"
Kumbe.. kamari ndo ku bet....?? Ile wana kuwa na karata ukiweka hapa umeliwa... ukiweka kule umekulaa... huu mchezo hatar sanaa...
 
FAIDA KUBWA SANA unakula pesa bila Jasho km sisi wa Meridianbet tunaakula pesa kwenye screen
 
kubet ni kuwekeza jero jero zako kuliko kula pipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…