Kubeti ni kujiua kiakili

Kubeti ni kujiua kiakili

Clark cian

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
154
Reaction score
146
Bisheni sasa na hii

Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao .

Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika
Jamani vijana tufanyeni kazi mazee

Sema napenda kutanguliza shkukrani zangu za dhati Kwa mamelodi Jana wamenipatia aftatu 😅
 
Mtoa mada utamkuta anacheza biko au mchongo pesa akidhani kuna pesa za bahati nasibu, kubet ni kazi kama kazi nyngn na kuna risk kama kazi zingine
 
Bisheni sasa na hii

Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao .

Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika
Jamani vijana tufanyeni kazi mazee

Sema napenda kutanguliza shkukrani zangu za dhati Kwa mamelodi Jana wamenipatia aftatu 😅
unapokuja na mada kama hii mwishoni njoo na suluhisho sio unalalamikia vijana tu...sasa wafanye nn kama kazi hazipo?
 
Bisheni sasa na hii

Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao .

Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika
Jamani vijana tufanyeni kazi mazee

Sema napenda kutanguliza shkukrani zangu za dhati Kwa mamelodi Jana wamenipatia aftatu 😅
Pumbafu sanaaaa na mamelody walokupatia aftatu🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom