Clark cian
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 154
- 146
Umempa nan? Usiweke direct ushindi cheza na 3+ au GG and alike.Nina 5odds leo, nikiweka 50k si napata 250k eti?
🤭hata life liwe gumu vipi usiache kubet
ipo siku utadondokea bet huku ukiendelea kufanya kazi
Ngoja nianzeipo siku utadondokea bet huku ukiendelea kufanya kazi
unapokuja na mada kama hii mwishoni njoo na suluhisho sio unalalamikia vijana tu...sasa wafanye nn kama kazi hazipo?Bisheni sasa na hii
Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao .
Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika
Jamani vijana tufanyeni kazi mazee
Sema napenda kutanguliza shkukrani zangu za dhati Kwa mamelodi Jana wamenipatia aftatu 😅
Utakuta ni mcheza bonanza mzuri tuMtoa mada utamkuta anacheza biko au mchongo pesa akidhani kuna pesa za bahati nasibu, kubet ni kazi kama kazi nyngn na kuna risk kama kazi zingine
Pumbafu sanaaaa na mamelody walokupatia aftatu🤣🤣🤣🤣Bisheni sasa na hii
Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao .
Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika
Jamani vijana tufanyeni kazi mazee
Sema napenda kutanguliza shkukrani zangu za dhati Kwa mamelodi Jana wamenipatia aftatu 😅
sijasema uanzeNgoja nianze
Vikingur winUmempa nan? Usiweke direct ushindi cheza na 3+ au GG and alike.
Ngoja niijaribuVikingur win
RB leipzig win &1.5 over
Stuttgart away 0.5 over
Heracles win