GlorytoGod
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 158
- 50
wakuu heshima kwenu, mimi ninatatizo japokuwa sina uhakika kama ni tatizoimani nitapata majibu mazuri, lakini kwa kuwa ninaamini huku kuna wataalam wengi wa afya nina mimi ni kama mwezi wa nne sasa wakati wa period ninakuwa nablid damu nyeusi wandugu nisaidieni tatizo linaweza kuwa ni nini?
Nitashukuru sana kwa majibu yenu mazuri
Nitashukuru sana kwa majibu yenu mazuri