Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Tuko bize na nba kwanini tusiifanye ligi yetu ya basketball kuwa ya kisasa na ikavutia watu wengi wa mataifa ya nje wakaifuatilia sababu uwezo huo kama nchi tunaoSawa Mr president to be tuko pamoja...mpaka tupate Kina Jordan wetu...
HapanaUmeshachukua fomu?