SoC04 Kuboresha mifumo ya elimu ya ufundi stadi ili kuleta matokeo chanya katika nchi yetu

SoC04 Kuboresha mifumo ya elimu ya ufundi stadi ili kuleta matokeo chanya katika nchi yetu

Tanzania Tuitakayo competition threads

Salimu Maulidi idd

New Member
Joined
Jun 14, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Viongozi wetu wamekuwa wakifanya mabadiliko mbali mbali katika sekta hadhimu ya elimu,mabadiliko hayo kwa namna fulani tumeona yakileta matokeo mazuri.

Pia matokeo hayo ni jitihada zilizochukuliwa na baadhi ya waasisi wetu.

Tuna vyuo vya ufundi stadi yaani (vocational and training centre) na kwa asilimia kubwa wanagenzi wa fani mbalimbali wanapohitimu masomo yao wengi hujiajiri na kuajiliwa, pia masomo ya ufundi yamekuwa kimbilio la vijana wengi sana, ambao vijana hao ndiyo Taifa letu la kesho.

Serikali inapaswa kutupia jicho katika sekta hii ya elimu ya ufundi stadi, kwa kuboresha mfumo wa elimu yaani kuwepo kwa mitaala bora.

_20240615_113128.JPG
 
Upvote 5
Back
Top Bottom