rupia family
Member
- Dec 8, 2023
- 8
- 0
Nitapanga miadi na wewe nije nikupe data za kubota...Nimefungua uzi niijue hiyo kubota, nimeona picha bado sijajua ni kitu gani
Nifundishe basi jamani, nataka kujua etiNitapanga miadi na wewe nije nikupe data za kubota...
Hiyo kubota sio mchezo... ina bota kinoma....🤣
Kubota ni brand ya Kijapani ya zana za kilimo hususani trekta na zana nyingine.Sijui yoyote mkuu😀. Ndo nilitaka kuiijua leo.
Ni kitu gani kwani?
Okay.Kubota ni brand ya zana za kilimo hususani trekta na zana nyingine.
Hapa watu wengi wanashangaa kwa sababu wahenga wengi wanafahamu kwamba Kubota ni trekta pekee ila pichani hawaoni trekta.
Halafu wale ambao siyo wahenga hawajui chochote
Mwenyewe hilo silijui ila inaonekana ni kati ya planter au harrowOkay.
Kwahiyo hilo.hapo lina uwezo wa kulima? Linafungwa kwenye trekta?
Zana ya kuvunia mpunga au ngano. Bei yake ikiwa mpya ni kama m70 hadi 90 kwa Tanzania.Okay.
Kwahiyo hilo.hapo lina uwezo wa kulima? Linafungwa kwenye trekta?
Nashukuru kwa elimu.Zana ya kuvunia mpunga au ngano. Bei yake ikiwa mpya ni kama m70 hadi 90 kwa Tanzania.
Na hizi za kichina zinachoka haraka sana, ukitumia miaka 3 hadi 4 utamjua kila fundi baada ya miaka hiyo.
Ila inalipa sana ukiwa nayo
made in indiaKama ni KUBOTA la kichina basi hakuna kitu hapo,langu la kichina lipo stoo linapigwa na vumbi tu,nililipeleka kwa mafundi mpaka mwenyewe nikawa fundi tu[emoji1787]