Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,166
- 3,077
mimi n mwanafunz nmemaliza hapo mliman lakin kuna course moja ya research methodology inayosimamia na doctor wiliam,ile course ilitakiwa tukafanye reseach lakin kutokana na ufinyu wa budget wakatuambia tuandike research pepar na tukafanya ivo.pale uds colledge ya cass unatakiwa kufikisha marks 16 ili ufanye UE.sisi tulipewa test1 na kuandika research,lakin research ilichukua mda sana bila kupewa matokeo yake,tukafanya UE na matokeo ya semista yakatoka bila ya hyo course kuwemo.leo matokeo yametoka lakin cha ajabu nmeandikiwa cary ova....
nauliza je hilo suala linawezekana?
kama research nmefeli haikunifikisha 16 je n kosa la nan?
nauliza je hilo suala linawezekana?
kama research nmefeli haikunifikisha 16 je n kosa la nan?