Kucha inaniathiri mwaka wa tatu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Wanajamvi,

Nina kucha ambayo imeota nisivyotarajia kwenye kidole cha mguu inaniumiza, imegeuka mwiba kwenye mwili wangu mwaka wa tatu sasa je niing'oe ?

Msaada
 
Wew

Wewe umezaliwa bila kucha ? Ilianza kukua vema ghafla imepinda bila kutarajia imegeuga mwiba mchungu kwenye nyama za kidole maumivu yananiuma kuniudhi na kunitia hasira ni sehemu ya mwili !

Pole sana, wahi kwa daktari..
 
Kucha INA rangi ya kijani hope ishaanza kuoza
 
Hiyo inaitwa Ingrown nail mara nyingi hutokea kwenye kidole gumba cha mguu (ingrown toenail) kutokana na ukataji kucha usio sahihi......nenda Hospital inafanyika procedure hapo under anesthesia mambo yanaenda poa kabisa
 
Ipige picha nitakuelewesha vizuri...
 
Wanajamvi,

Nina kucha ambayo imeota nisivyotarajia kwenye kidole cha mguu inaniumiza, imegeuka mwiba kwenye mwili wangu mwaka wa tatu sasa je niing'oe ?

Msaada
Hiyo kitu
View attachment 789626
Hiyo inaitwa Ingrown nail mara nyingi hutokea kwenye kidole gumba cha mguu (ingrown toenail) kutokana na ukataji kucha usio sahihi......nenda Hospital inafanyika procedure hapo under anesthesia mambo yanaenda poa kabisa
Umeeleza vema, afuate maelezo yako. Hata mie iliwahi kunitokea nikafanyiwa "procedure" hiyo mara 2. Mara ya kwanza, baadae iliota tena vibaya. Nikarudi kwa dokta wangu akafanya mara ya pili na ndiyo ikawa mwisho wa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…