Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
sawaSina kwa sasa.
Nikibandika nitakuonyesha
Hata mie najua ni nene fulani hivi,huwa sio kali mara nyingi
Kucha natural huwa zinakwaruza zaidi ya hizi za kubandika
Zinapendeza hatariii
Mi mdau wa kubandika
Mguu na mikono huvutia sana
Ha ha ha
Wala hubandiki ndefu Kama jini..za kiasi tu