Kucha za bandia ni tatizo kubwa kwangu

Kucha za bandia ni tatizo kubwa kwangu

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
Unaenda kwa mama lishe au muuza matunda unakuta kabandika mikucha utasema hachambi.

Sasa sijui tunakula vinyesi vya wangapi kwa siku.

Naomba niishie hapo kwa sasa

FAD665D1-59A3-42B6-A3A8-67543A511DC7-304-00000015D7D023D4.jpeg
 
Nikiona tu mwanamke ana makucha ya hivi najua ananuka K au MK 14.

Maana sidhani kama anaweza kujisafisha.
 
mm nikifika kwa mama Ntilie huwa najifanya kama nampa hela ili apokee.. nikiona tuu kucha chafu au za kubandika namchana afu nasepa.. Na hawaongeagi kitu.. AIBU SHUUU
 
kucha in changamoto sana na hawa Dada zetu hua hawaskii ata umwambiaje haachi....yaan MTU anamakucha hayo cjui choon anaendaje
 
Back
Top Bottom