Kucha zinanyofoka

Kucha zinanyofoka

Ballerina

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
386
Reaction score
187
:mod:

Wana JF nishaurini,nina tatizo la muda mrefu kidogo like 3months,kucha zangu za miguuni zinanyofoka sijui kwa nini.Tena hakuna maumivu yoyote,na ndani nakuta kimeanza kuota kikucha kidogo.Yaani ni kama staili ya jino linavyoanza kutingishika then linang'oka tofauti ni kwamba kucha inapoanza kutaka kun'goka kunakuwa na nyingine imeshaota kwa ndani.

Nini tatizo na matibabu yake ni nini ndugu zangu?
 
Onychomadesis.....inawezekana ulikuwa na infections flani katika sehemu kucha zilikojishika au sehemu nyingine ya mwili,au baadhi ya dawa zinaweza sababisha hiyo hali..kucha zinazoota ni 'kureplace' zile zilizotoka na hiyo ni kawaida..
 
Back
Top Bottom