Ni muhitim wa elimu ya juu ktk fani ya bsc in IT niligraduate ktk taasisi ya elim ya juu yaan IFM na kufanikiwa kupata GPA ya 3.8, malengo yangu siku zote tangu naanza kusoma ni kuwa mkufunzi wa elimu ya juu yaan tutorial assistant au lecture, nimejaribu kuzunguka ktk vyuo mbalimbali nikiomba nafasi since last year huwa wananipa majibu kuwa wanahitaji watu wa masters sasa nimejikusanya nahitaji mwaka huu niende kusoma masters Mungu akipenda ktk kupitia vyuo mbalimbali kufanya research juu ya masters wanazotoa nikaona hizi hapa.
1.MBA in IT from Institute of Accountancy Arusha wakishirikiana na conventry university ya UK.
2.MSc in IT & Management from IFM wakishirikiana na Avinashilingam Deemed University ya India.
3.Master of Science in Information Technology (MSc. IT) from UDOM.
Kwa mawazo yangu me nilipenda nifanye hiyo MBA in IT toka IAA lakin kinachonitatiza ni kwamba sikupenda masters yangu nifanye ktk Institute nilipenda nifanyie ktk University level mojawapo na la pili ninashaka na ubora wa hicho chuo kuhusu hiyo masters kwamba inaweza kunsumbua ktk soko la ajira, nilikuwa naomba wadau wa elimu muweze kunishauri kwa mawazo ktk hilo na ktk hizo cource 3 nilizohainisha hapo juu na pia mwenye mawazo mbadala tofauti na me nilivyofikir namkaribisha..AHSANTEN.