Kuchagua sana ndiko kunawaponza dada zetu

Kuchagua sana ndiko kunawaponza dada zetu

antar100

Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
26
Reaction score
31
Habari ndugu zangu, natumai mu wazima

Nakuja na mtazamo wangu kwa hili kundi la kina dada kujitangaza kutafuta waume. Kiukweli wengi wao umri kidogo umesogea lakini bado hawajakua wala kujifunza.

Unakuta hadi anafika umri wa miaka 30 na kuendelea hajaolewa anakuja hapa na kutangaza vigezo kibao kama ambaye anatafuta bidhaa fulani.

Nawakumbusha kuwa kuchagua sana ndio kulikofanya hadi sasa uwe unajitangaza kutafuta mume. Tafuta mtu mwenye upendo na heshima. Masuala ya miaka, makabila hivyo havina umuhimu. Mpaka amekufata amejua anaweza kukumudu.

Nimemaliza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha siyo ??

Karma
 
Back
Top Bottom