Kuchaguliwa chuo zaidi ya kimoja

Kuchaguliwa chuo zaidi ya kimoja

Nyalikanho

Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
61
Reaction score
30
Habari wadau,

Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka.

Pia kuna chuo cha private niliomba ila siyo online na wamenichagua so nasubiri majibu ya majina waliyopeleka TCU kama watanichagua. sasa sijajua effect ya kuconfirm ni ipi?

Kwa maana chuo ninachotaka kujiunga ni hiki cha private ikishindikana basi iwe CBE au DIT.

Je, nikiconfirm either CBE or DIT kile cha private nitakuwa cancelled direct?

Msaada wadau maana leo ndio deadline ya kuconfirm.
 
Maana yake mwisho wa kufanya confirmation ni leo tar.17/10/2020.Ndiyo maana umeambiwa Fanya maamuzi kabla ya saa 6 usiku wa Leo.
hakuna nisichokielewa abt deadline ila soma uzi wangu then utagundua why nimemuuliza how?
 
Habari wadau,

Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka.

Pia kuna chuo cha private niliomba ila siyo online na wamenichagua so nasubiri majibu ya majina waliyopeleka TCU kama watanichagua. sasa sijajua effect ya kuconfirm ni ipi?

Kwa maana chuo ninachotaka kujiunga ni hiki cha private ikishindikana basi iwe CBE au DIT.

Je, nikiconfirm either CBE or DIT kile cha private nitakuwa cancelled direct?

Msaada wadau maana leo ndio deadline ya kuconfirm.
Kijana nenda chuo cha umma; vya binafsi mfano St Joseph ni ghali karibu mara mbili (tuition fee) ukilinganisha na vyuo vya umma. S
 
Kama wamekuchagua Hicho chuo cha 3 .. basi usi comfirm DIT wala CBE ..
 
Kijana nenda chuo cha umma; vya binafsi mfano St Joseph ni ghali karibu mara mbili (tuition fee) ukilinganisha na vyuo vya umma. S
mkuu nimekichagua sababu naweza kuafford price yake na bahat mbaya zaid cbe wamenichagua nisome metrology wakat 1st choice ilikuwa IT(ict) ila huku nmepata direct nnachotaka.
 
Kila la kheri. Vyuo vya umma hakuna ICT?
 
cbe na dit vipo karibu kutokana na mazingira ila hawakunichagua kwenye course za it/ict so wamenichagua kwny course nyngine ambazo ni second choice kwangu.
 
kijana ni kwa nini unataka kusoma ict?hapo dit wakuchagua kozi gani?kwa nini hutaki kusoma metrology wakati wenzako wakimaliza wanapewa vitengo directly?
 
sawa mkuu ila now nataka soma kitu kile nakipenda mana iyo bach ya metrology naweza soma hata baadae tu ..... ila 1st priority yangu ni IS
 
Iv had diploma Wana confirm??
i think so but am not sure ila kama unajua vyuo umechaguliwa zaid ya kimoja nenda kweny acc yako ya kila chuo then uchek kama unatakiwa kuconfirm au la? mana mimi nilituiwa hadi sms kwa simu yangu kwamba lazima niconfirm chuo kimoja kati ya nilivyochaguliwa
 
Back
Top Bottom