Kuchaguliwa chuo zaidi ya kimoja

Sawa kwa vile umeweka wazi hobby yako hapo sawa sina maneno.
Maana fani ya mechanical kuna baadhi ya watu hawaipendi ila ndio fani rahisi kutoboa kuliko zote.
Hata mimi ndio nilisomea hiyo mechanical yaani imenisaidia sana.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
vizuri mkuu so cha private tayari ushaconfirm huko or napo bado
yeah nishaconfirm kwao ila nimeconfirm physically na sio online so wamepeleka majina tcu yakirudi ndo ntakuwa moja kwa moja naruhusiwa kuanza utaratibu wa malipo na kusoma
 
yeah hata mimi mecha imenisaidia na inanisaidia sana but now naona ni mda sahihi wa kusoma hobi yangu.
 
hata ivyo IT soko la ajili ni dogo sana..
Ni kweli wasomi wa IT wamezagaa sana mitaani na ajira zake ni chache sana.
Hii ni kwa sababu kampuni zinazoajiri wataalamu wa IT ni chache sana,kampuni zingine wanakodi mtu wa IT unapotokea uhitaji then kazi ikiisha anaondoka zake.
 
wana cofirm baadhi ya. vyuo ila si vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…