Kuchambana kwa kiingereza…

Kuchambana kwa kiingereza…

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Mimi kiingereza sijui vizuri. Ila nasikia kwa 80% na nikisoma naelewa kwa 85%
Tupia maneno ya kuchambana hapa kwa lugha ya kiingereza.
Nimeweka hapa hii sababu nimemsikia mtangazaji wa kiliFm, akiandaa shindano la kuchambana kwa kingereza
Huyu jamaa anaitwa kijumbe. Ni dume lakini linaendesha kipindi cha cha taarabu na linaongea kimipasho kama kina Mishi bomba.
 
Unamzungumzia Kijumbe Bryants au? kama ndiye mbona yule ni demu kwanzia sauti hadi kila kitu thou sijawahi kumuona.
 
Mimi kiingereza sijui vizuri. Ila nasikia kwa 80% na nikisoma naelewa kwa 85%
Tupia maneno ya kuchambana hapa kwa lugha ya kiingereza.
Nimeweka hapa hii sababu nimemsikia mtangazaji wa kiliFm, akiandaa shindano la kuchambana kwa kingereza
Huyu jamaa anaitwa kijumbe. Ni dume lakini linaendesha kipindi cha cha taarabu na linaongea kimipasho kama kina Mishi bomba.
Kwamba tutumie karatasi badala ya maji?
 
Back
Top Bottom