Heshima kwenu wakuu, kuna wengi nawashangaa wakiongea kiswahili wanatia na kingereza, wakiandika ndio balaa nusu kiswahili nusu kingereza mchezo huu upo hapa Jf. Mbona tukiongea kichaga ni hicho hicho tu, au kinyamwezi, kisukuma,kimasai,kikuria,kihaya,kipare,kizigua na kadhalika. Tuwacheni ujinga.