Kuchanganya wine (Dompo) na sprit (Konyagi)

Kuchanganya wine (Dompo) na sprit (Konyagi)

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Kwa ajili ya kupata mzuka kidogo na kupata usingizi haraka huwa natumia bia 2 hadi 4. Kulingana na gharama nafikiria kuwa nachanganya Dompo na konyagi kidogo.

Kiafya imekaaje wadau?
 
Si mbaya zaidi ya kuunguza maini kuchosha mwili na kuipa figo fatique ya kuchuja rangi na sumu
 
Back
Top Bottom