Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,672 Reaction score 6,880 Jun 22, 2014 #1 Kwa ajili ya kupata mzuka kidogo na kupata usingizi haraka huwa natumia bia 2 hadi 4. Kulingana na gharama nafikiria kuwa nachanganya Dompo na konyagi kidogo. Kiafya imekaaje wadau?
Kwa ajili ya kupata mzuka kidogo na kupata usingizi haraka huwa natumia bia 2 hadi 4. Kulingana na gharama nafikiria kuwa nachanganya Dompo na konyagi kidogo. Kiafya imekaaje wadau?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jun 22, 2014 #2 Si mbaya zaidi ya kuunguza maini kuchosha mwili na kuipa figo fatique ya kuchuja rangi na sumu
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,672 Reaction score 6,880 Jun 22, 2014 Thread starter #3 mshana jr said: Si mbaya zaidi ya kuunguza maini kuchosha mwili na kuipa figo fatique ya kuchuja rangi na sumu Click to expand... noted mkuu.
mshana jr said: Si mbaya zaidi ya kuunguza maini kuchosha mwili na kuipa figo fatique ya kuchuja rangi na sumu Click to expand... noted mkuu.