Kuchanganyikiwa ni nini..???!

Kuchanganyikiwa ni nini..???!

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
Kuchanganyikiwa ni pale, unapomwagiza jamaa yako wa karibu, akutumie million 2 kwa M-pesa ukalipie ada ya shule ya mtoto, baada ya hapo jamaa anakutumia muda wa maongezi wa million mbili...HAPO NDIO UTAKAPO JUA KACHUMBARI MBOGA AU KIBWAGIZO [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utauza uo muda wa maongezi [emoji23] utakua vocha vender kwa muda
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Hmmm!! Hapo utachanganyikiwa, njiani unapita unasema peke yako kama mhehu.
 
Back
Top Bottom