KUCHANGIA JF - Nielimishwe Tafadhali

KUCHANGIA JF - Nielimishwe Tafadhali

Modereta

Senior Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
164
Reaction score
17
Kwa Moderators na Mello

Naona kuna matangazo toka makampuni yaliyo nje ya Tanzania. Naamini yanalipia matangazo hayo. Lakini ufahamu wangu ni mdogo, nadhani huwa site italipwa tu kama mtu amefungua na kulisoma tangazo!!?? Kama ndivyo - Basi sisi wan JF tufahamishwe ili tuwe tunafungua angalau kujua kuna nini huko na JF ipate kamchango kidogo. Kama sivyo basi tuhamasishe na wengine kutangaza hapa ili angalau JF iendelee kuwa IMARA.
Naomba kuelimishwa, labda tunaweza saidia kidogo
 
Back
Top Bottom