naona hazikatwi hela; sina uhakika kama set up za mitandao hiyo ziko sawa; wajumbe lihakikisheni hili linafanikiwa haraka iwezekanavyo maana nahisi kuna hujuma pia ktk hili
Mwisho walahoi wengi tuko tigo; kwa nini wasitufikie kipindi hiki? TIGO Pls connect this