Kuchapa kijarida

Kuchapa kijarida

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,017
Reaction score
2,210
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nahitaji kuchapisha kijarida chenye kurasa kama 20 hivi. Ni application gani ya computer itanisaidia kupanga karatasi kwa namba kwa usahihi.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nahitaji kuchapisha kijarida chenye kurasa kama 20 hivi. Ni application gani ya computer itanisaidia kupanga karatasi kwa namba kwa usahihi.
Hata word inaweza. Tatizo hapo ni printer
 
Word, publisher zinaweza issue ipo kwenyw kuset printer hasa kwenyw page za kugeuza
 
Back
Top Bottom