Kuchatishana herufi kubwa kunaboa sana

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Hasa namba ngeni ikiingia mf.075.....MAMBO VIPI.

Huwa unafikiria ni mtu wa aina gani kila meseji anaekutumia yeye anaadika herufi kubwa mwanzo mwisho sipendiiii....!!!
 
kuna jamaa anapenda sana heruf kubwa sasa juzi kantumia smas kwa maherufi makubwa kama kawaida yake basi mm nkamjibu "naona unapenda sana herufi kubwa" nkashangaa kanijib kwa herufi ndogo[emoji16]
 
Bora huyo anayeshout ila aandike vitu vinaeleweka, kuna wale simu zao hazina irabu, na wa kuchanganya l na r na wale wa x badala ya s[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Bora huyo anayeshout ila aandike vitu vinaeleweka, kuna wale simu zao hazina irabu, na wa kuchanganya l na r na wale wa x badala ya s[emoji134][emoji134][emoji134]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna meseji ukitumiwa iinabidi tu uulize unamaanisha nini?
Yani hujaelewa kitu ni mvurugano tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…