Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hasa namba ngeni ikiingia mf.075.....MAMBO VIPI.
Huwa unafikiria ni mtu wa aina gani kila meseji anaekutumia yeye anaadika herufi kubwa mwanzo mwisho sipendiiii....!!!
๐๐๐๐daaah....kuna mmoja sasa haachi space ana andika tu nakaribia kugombana nae maana nina siku ya 3 leo nasoma tu alafu sielewi kitu.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Namtafakarigi Sana mda mwingine naona kana nimtu wa makamo Sana au huwa nadhani nimgeni katika simu...Hasa namba ngeni ikiingia mf.075.....MAMBO VIPI.
Huwa unafikiria ni mtu wa aina gani kila meseji anaekutumia yeye anaadika herufi kubwa mwanzo mwisho sipendiiii....!!!
Acha hiyo wale wa "jomoni" umewadahau wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]:wanakera SanaSi bora kuchatishwa kwa herufi kubwa.
Kuna wale anaandika. "Habali" inakemera kweli utadhani keyboard yake haina herufi 'r'
Hasa namba ngeni ikiingia mf.075.....MAMBO VIPI.
Huwa unafikiria ni mtu wa aina gani kila meseji anaekutumia yeye anaadika herufi kubwa mwanzo mwisho sipendiiii....!!!
ni shida,[emoji23][emoji23][emoji23] ni kama wagombezwa vile
ANAKUWAHAJAKUELEWASASAKWA7BU GAN XX HUJIBU?๐