Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba hamna?Unapenda kweli kuweka watu wote kwenye kundi moja!Tunatofautiana wewe!Michelle hapo kashajitaja ila hayuko availabo..mimi nami sema sihitaji!
Wadada bwana . . . .:roll:
Tumefanya nini tena?
na mm naenda kucheat mchana huu....hahahahahaha
Mnaongeza burudani hapa JF :laugh:
utahakikisha vipi sasa?mimi sijawahi cheat........najua wapo na wengine wengi tu hapa JF......:laugh::laugh: