Kucheat

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Ni mwanamke gani mwaminifu na hajawahi kucheat hata mara moja maishani mwake?
Namtafuta huyo ili nimuoze kwa kaka yangu, maana anajidanganya kuwa eti ataoa mwanamke ambaye hajawahi kuchepuka hata mara moja.
 
utahakikisha vipi sasa?mimi sijawahi cheat........najua wapo na wengine wengi tu hapa JF......:laugh::laugh:
 
Im sure wapo... tatizo ni proof ambazo ni ngumu kuzipata.
 
Kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba hamna?Unapenda kweli kuweka watu wote kwenye kundi moja!Tunatofautiana wewe!Michelle hapo kashajitaja ila hayuko availabo..mimi nami sema sihitaji!
 
na huyo kaka yako naye hajawahi kucheat au?........maana kama wewe unacheat huna haja ya kumind wenzako wakicheat. ila mara nyingi anayecheat ikimtokea yeye siku moja huwa na hasira sana.
 
yeah, kwenye mambo ya kucheat ugumu upo kwenye proof.....ila mi siwezi shangaa mtu akiniambia hakuna mwanamke ambaye hajawahi kucheat.....nothing is impossible.
 
duh..naamini wapo ila jinsi ya kuhakikisha .....kama anamegwa nje au hamegwi nje...
 
Kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba hamna?Unapenda kweli kuweka watu wote kwenye kundi moja!Tunatofautiana wewe!Michelle hapo kashajitaja ila hayuko availabo..mimi nami sema sihitaji!

Wadada bwana . . . .:roll:
 
Hata wanaume ambao hawajawahi ku-cheat wapo kibao hapa JF
Kama hashycool, krolokwini, uporoto1, shossi, The Finest, Kimey, Asprin, Rev Masanilo, Askofu, BabaUbaya, VoR, Elia, RealMan na wengine kibao

Ila mimi nimewahi ku-cheat :A S wink: :heh: :heh: :heh:
 
Elia nn...sasa....game mchana mchana... ukirudi nyumbani kimya...
 
Matthew 5:27-28
"You have heard that it was said, ‘You shall not commit adultery.' But I say to you that everyone who looks at a woman with lustful intent has already committed adultery with her in his heart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…