Kucheat

yaani mada zingine bwana ni kazi kweli kabisa.
Kwa hiyo ulikuwa unatoa hii mada ukiwa n amaana gani?
mbona wanawake huwa mnapenda kujidhalilisha wenyewe?
mkielezwa ukweli mnasema ooh wanaume wanapendakutulaumu..kumbe makosa ni yenu wenyewe.

Hapa unamaanisha mwanamke ambaye hajawahi ku-cheat au ambaye bado hajawahi tembea na mwanamme(bikra)?
 
Nimeipenda hii mkuu inabidi nazjaz atutafutie dada zake wanaotafuta wanaume ambao hajawahi kucheat ila itabidi yeye ndio atukague I mean ukaguzi muhimu:roll:
 
Labda uki sema kucheat kivipi? Inategemea huyo kaka yako anchukulia kucheat ni nini...
 
Nadjad unaongelea kucheat ukimpata aolewe na nduguyako sasa hapo itakuwaje mana mtu anaecheat nitayari anamtu sasa huyu anataka msichana au mke ambae hajawahi kukongokoli wamejaa teleee
 
wapi wewe... acha kujitetea... nimegeuka kidogo tu mara AD akaja kwenye picha... pole nimeona amekula BAN, veri veri..
 
Teamo pia hajawahi kucheat yeye huwa anapiga infidelity tu
 
:laugh:hivi ku cheat si mpaka mtu uwe umejiwekea mmoja permanent???????
kama mtu unao wawil permanent kwani hapo inakuwa cheating si unakuwa unatimiza tu majukumu pande zote......mi sijui bana nijuzeni
 
Ni mwanamke gani mwaminifu na hajawahi kucheat hata mara moja maishani mwake?
Namtafuta huyo ili nimuoze kwa kaka yangu, maana anajidanganya kuwa eti ataoa mwanamke ambaye hajawahi kuchepuka hata mara moja.

Mimi sijawahi kucheat kwa kweli.
Na sitegemei kucheat.
 
:laugh:hivi ku cheat si mpaka mtu uwe umejiwekea mmoja permanent???????
kama mtu unao wawil permanent kwani hapo inakuwa cheating si unakuwa unatimiza tu majukumu pande zote......mi sijui bana nijuzeni
 
:laugh:hivi ku cheat si mpaka mtu uwe umejiwekea mmoja permanent???????
kama mtu unao wawil permanent kwani hapo inakuwa cheating si unakuwa unatimiza tu majukumu pande zote......mi sijui bana nijuzeni
Kumbe unaweza kuwa na wawili permanent
 
Ntakulitea binamu yangu, ni mwana mwali bado
nimeipenda hii mkuu inabidi nazjaz atutafutie dada zake wanaotafuta wanaume ambao hajawahi kucheat ila itabidi yeye ndio atukague i mean ukaguzi muhimu:roll:
 
Mimi sijawahi ila ndio nimeshaolewa tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…