kama hivyo ni bora tu huyo kaka yako angespecify kuwa anataka mwanamke bikra kwani huyo peke yake ndiyo hajawahi ku cheet na pia wewe kama dada yake unge muelimisha kuwa swala la ubikra limekwisha pitwa na wakati hivyo sasa hivi tu nacho angalia ni mapenzi ya dhati kati ya watu wa wili wanao pendana na kuaminiana na kuheshimiana napia kumbuka uzuri wa mwanamke ni tabia kaka siyo ku cheet wala kutowahi kucheet