Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora zichelewe kuliko kuletewa jezi zenye makaburi
Katika hali isiyo ya kawaida hadi sasa Timu ya Simba haijazindua jezi itazotumia msimu huu....
Kupitia msemaji wa klabu "udhamini ndo sababu ya kuchelewa"
Je Simba hawakujua kuna swala la Jezi hadi wachelewe mchakato wa udhamini?
Tust the processKatika hali isiyo ya kawaida hadi sasa Timu ya Simba haijazindua jezi itazotumia msimu huu....
Kupitia msemaji wa klabu "udhamini ndo sababu ya kuchelewa"
Je Simba hawakujua kuna swala la Jezi hadi wachelewe mchakato wa udhamini?
Sababu zimetolewa labda unajingineKatika hali isiyo ya kawaida hadi sasa Timu ya Simba haijazindua jezi itazotumia msimu huu....
Kupitia msemaji wa klabu "udhamini ndo sababu ya kuchelewa"
Je Simba hawakujua kuna swala la Jezi hadi wachelewe mchakato wa udhamini?
Msemaji wa Unyamani kafafanua vizuri bwana uto, mnataka afafanue mara ngapi mlizike?Katika hali isiyo ya kawaida hadi sasa Timu ya Simba haijazindua jezi itazotumia msimu huu....
Kupitia msemaji wa klabu "udhamini ndo sababu ya kuchelewa"
Je Simba hawakujua kuna swala la Jezi hadi wachelewe mchakato wa udhamini?
Vunja Bei hajawekeza Bilioni2 ww..Kwa akili yako vunja bei angechelewesha kutangaza jezi bila sababu ya msingi?yaani awekeze bilioni 2 halafu acheleweshe jezi kwa makusudi,mmeshambiwa kuna jambo limetokea lililo nje ya uwezo wake,eleweni hivyo.