Katika pitapita zangu nimekutana na hiki kitu wadada wawili wakiwa wanazungumza mmoja akiwa mjamzito akisema eti Sikh zake za kujifungua zimepita eta wiki moja yupo kwenye mawazo kwelikweli
Nani nikajiiuliza hivi Ni kweli hili linawekaza? Au kachanganya tarh ? Mwenye utaalamu na hili anisaidie
Shukrni kwa jibu lakohiyo inaitwa OverDue kwa lugha isiyo rasimi au Post-Maturity au Post-Datism!
UNakuta mimba inaenda zaidi ya week 42 wakati kwa kawaida 37-40 weeks.
mara nyingi inaweza kuwa tatizo la mtoto au mama maana wote wana play part katika kuanzisha uchungu.
Si kitu kizuri hivo ni vema aende hospitali akaanzishwe Uchungu maana zaidi ya week hizo placenta inakua ishaanza kuchoka na haitokua inampatia mtoto virutubisho chini ya kiwango.