Kuchelewa kutangazwa Cabinet inaonyesha udhaifu wa Rais

Kuchelewa kutangazwa Cabinet inaonyesha udhaifu wa Rais

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kwa sababu unapokuwa na viongozi ambao hawajui hatima yao, ina maana hawawezi kufanya kazi, hawawezi kufanya planning two weeks ahead, wanakuwa katika hali ya hatihati.

Kwahiyo, in effect, cabinet isipotangazwa, you are bringing the country to a standstill. Inaonyesha indecision on the part of the president.

Mashabiki wa mpira ukiwaambia wapange timu ya taifa, they will do it in an instant. Wapo wabunge, wapo viongozi wa Chama, why can't the president coin a cabinet? It reminds me of that joke:

St. Peter alikwenda Motoni, akakuta kwamba it was very cold, everyone there was shivering, even the Devil was shivering with cold, halafu pembeni there was a large pile of wood. Akamuuliza Shetani, "Kwa nini huchukui hizi kuni kutengeneza moto? Motoni hakupaswi kuwa baridi. Kunapaswa kuwa na lava na sulphure.
 
St. Peter alikwenda Motoni, akakuta kwamba it was very cold, everyone there was shivering,even the Devil was shivering with cold, halafu pembeni there was a large pile of wood. Akamuuliza Shetani,"Kwa nini huchukui hizi kuni kutengeneza moto? Motoni hakupaswi kuwa baridi. Kunapaswa kuwa na lava na sulphure.

Malizia hapa, hayo mengine achana nayo.

Ikawaje ss
 
The joke goes like this(lakini nitalaumiwa sana.);

A gay man died and went to Heaven. Pale kwenye Pearly Gates akamkuta St. Peter. Akamuuliza St. Peter,"Is it permitted for a gay person like me to enter Heaven"?

St. Peter akamwambia anaruhusiwa. Akamwambia"Come. Here,,I will take this key and show you to your room."
Kwa hiyo wakaongozana na St. Peter katika corridor, St. Peter yuko

mbele. Kwa bahati mbaya,St. Peter akauangusha ule ufunguo. Akainama kuuokota, Alipoinama,yule gay person akamgusa on the backside. St. Peter akamwambia,"Don't do that. Hapa Mbinguni hatufanyi mambo haya."

Wakaendelea kutembea,St. Peter akauangusha tena ule ufunguo ,akainama kuuokota,yule gay person akamshika tena nyuma. St. Peter akamwambia,usifanye hivyo. This is the last warning,ukifanya hivyo tena,nakufukuza.
Wakaendelea kutembea,St. Peter akauagusha tena ule ufunguo,akainama kuuokota,yule gay person akamgusa tena. Basi,St. Peter akaamua kumpeleka yule gay person Motoni.

Unauliza Shetani alijibu nini alipoulizwa swali? Alijibu,"Kuni zipo nyingi, ndio,lakini tunaogopa kuinama kuziokota."
 
.........................
St. Peter alikwenda Motoni, akakuta kwamba it was very cold, everyone there was shivering, even the Devil was shivering with cold, halafu pembeni there was a large pile of wood. Akamuuliza Shetani, "Kwa nini huchukui hizi kuni kutengeneza moto? Motoni hakupaswi kuwa baridi. Kunapaswa kuwa na lava na sulphure.
St. Peter hakwenda motoni; aliingia kwenye freezer!
 
Kwa sababu unapokuwa na viongozi ambao hawajui hatima yao, ina maana hawawezi kufanya kazi, hawawezi kufanya planning two weeks ahead, wanakuwa katika hali ya hatihati.

Kwahiyo, in effect, cabinet isipotangazwa, you are bringing the country to a standstill. Inaonyesha indecision on the part of the president.
Cabinet si ipo?, reshuffle is a sole and discretionary role of the president!. Tusivuke mipaka hadi tukataka kumpangia kazi rais wetu!. Kama kuna waziri yoyote atashindwa kutimiza wajibu wake kikamilifu kwa hofu ya kama atendelea kuwepo au atapumzishwa, then waziri wa aina hiyo hatufai!.

Mpeni space Mama ya kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na kupangiwa kama ambavyo hatumpangia JPM. Na kwa vile she is a default president, alipoingia aliamua kuendelea na aliowakuta, mwache aendelee kuwasoma atakao ona wanaendana nae, ataendelea nao huku akiwapunguza mdogo mdogo, but as long as PM ni PM wa JPM, then hii na cabinet ya JPM!, Samia atakuja na cabinet yake 2025!. Wanao mfaa wataendelea, wasiomfaa watapumzishwa, tusimpangie, kazi iendelee!.
P
 
Ningekua rais bunge,sijui wakuu wa mikoa,wilaya ningefuta wote,, madiwani wangu na mawaziri wangu tu wachache wangetosha hao hao ndio wangebeba majukumu yawabunge hizo hela nyingi za mashangingi sijui mishahara,,,zingeenda Kwenye mambo mengine!Yan miaka 2 tu Hii nchi ingebadilika kwenye swala la ajira,,plan yangu ningewekeza Kwenye kilimo na viwanda,,, Hii mitumba na jeans fake huwa zinanikera sana,,,wakati pamba,ngozi tunayo yakutengenezea viatu vizuri, mabegi n.k
 
Back
Top Bottom