Kuchelewa kwa Majaribio ya SGR kumesababishwa na Uviko 19 na Vita vya Ukraine

Kuchelewa kwa Majaribio ya SGR kumesababishwa na Uviko 19 na Vita vya Ukraine

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio kauli ya serikali iliyotolewa leo , na kwamba mambo hayo mawili yamesababisha kuchelewa kukamilika kwa matengenezo ya vichwa vya Treni hiyo .

Chanzo: Swahili Time

Toa Maoni yako ukizingatia kwamba huko mwanzo walituambia hivi

FB_IMG_1685552370249.jpg


=======
Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.

Serikali imesema kichwa cha kwanza cha treni ya SGR kitafika nchini Julai mwaka huu, na pindi kitakapofika majaribio yataanza.Awali majaribio yalipangwa kufanyika Mei mwaka huu, lakini imeshindikana kutokana na vichwa kutokamilika kwa wakati.
 
Kama ndiyo sababu kuu aliyonayo "think tanks" wa Hao jamaa, wengine watatoa majibu gani???? 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom