Hili li ARIS la chuo kikuu Mzumbe linaboa sana. MaFR wametuma taarifa za kuwekwa kwa matokeo tangu wiki iliyopita lakin mpaka sasa hakuna chochote. Na taarifa ya kua matokeo sio mazuri hasa kwa 1st Yeah ndio zimezagaa. S mtujulishe kama tumedisco tujue 1.