mkisyeli
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 260
- 76
Hivi kwanini tusijiulize swali dogo na jepesi kama hili "kwanini matokeo yachelewe kutoka mwaka huu???"Ni hivi kwanza kurudia upya kwa usahihishaji wa matokeo ya kidato cha nne na upangaji upya wa matokeo hayo kiujumla na pia kupandandishwa kwa madaraja ya ufaulu wa kidato cha nne na cha sita sasa kutokana na tamko la serikali kutoa agizo la kuwa matokeo lazima yasahihishwe upya na kupanga matokeo mapya hali hii inapelekea kucheleweshwa kutoka kwa matokeo ya kidato cha sita 2013 hadi sasa hivyo huu ni udhaifu wa Baraza la mitihani kuamua kuchukua maamuzi pasipo kushirikisha wadau wa Elimu kiujumla