Kuchelewa kwa matokeo ya kidato cha sita 2011-2013

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
260
Reaction score
76
Hivi kwanini tusijiulize swali dogo na jepesi kama hili "kwanini matokeo yachelewe kutoka mwaka huu???"Ni hivi kwanza kurudia upya kwa usahihishaji wa matokeo ya kidato cha nne na upangaji upya wa matokeo hayo kiujumla na pia kupandandishwa kwa madaraja ya ufaulu wa kidato cha nne na cha sita sasa kutokana na tamko la serikali kutoa agizo la kuwa matokeo lazima yasahihishwe upya na kupanga matokeo mapya hali hii inapelekea kucheleweshwa kutoka kwa matokeo ya kidato cha sita 2013 hadi sasa hivyo huu ni udhaifu wa Baraza la mitihani kuamua kuchukua maamuzi pasipo kushirikisha wadau wa Elimu kiujumla
 
4m6 results imechelewa coz necta iko busy kufanya grading upya ya matokeo kdt cha nne mwaka 2012. hii ndo nchi yenu yenye amani na utulivu, wa2 pia lazima wawe watulivu.
 
Hapa hakuna cha uttlivu kaka kwa sababu gani baraza la mitihani lisihusishe wadau wa elimu kwanza ndo watoe uamuzi japo kuwa ni jambo jema kuongeza alama za ufauli ili elimu ikuwe sasa wamejeribu kuongeza alama za ufaulu tumejionea nn kilichotokea kaka sasa hii ni mwanzo wa kuchanganya Elimu na siasa na ndo maana elimu yetu imefika hapa ilipo kila kukicha Elimu inaporomoka MAN PC
 
Last edited by a moderator:
Acheni Presha linapanga upya Grade maana hata Advance level waliweka viwangovipya vya ufaulu so wengi walichemka, Jiandaeni kufungua Account za kuwekea Boom za Loan board mkipata ela nitafteni niwaoneshe maujanja msiwe mafala ----, unakamata Boom unaitandika ipasavyo ikiisha hasira unahamisha kwenye buku lazima ufaulu!
 
yap! it z, haina maana kurudia kugrade upya matokeo je waliojinyonga coz ya matokeo watafufuka sababu ya kufanya grading upya? wazir mwenye dhamana ndo angejiudhuru bac.
 
yap! it z, haina maana kurudia kugrade upya matokeo je waliojinyonga coz ya matokeo watafufuka sababu ya kufanya grading upya? wazir mwenye dhamana ndo angejiudhuru bac.

dah, kiswahili kigumu,kingereza kigumu, serikali itumie lugha za Asili kufundishia, hata wakisahihisha upya haitoikufanya kujua kuwa Kujiuzulu na kujiudhuru sio neno moja!
 
Hahahaha naona sasa mambo yashakuwa mazuri....kujiuzuru kwa muhusika si suluisho la kudumu katika kuendelea kwa Elimu jiulize swali rahisi sana aliyekuwa waziri mkuu MH.EDWARD LOWASSA alipojiuzulu kwa sababu ya UFISADI je kumepunguza ufisadi nchini???au ndo ufisadi unaongezeka hapa cha msingi ni kutafuta sulihu ya kudumu juu ya Elimu yetu hii ya kusua sua wandugu@MAN PC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…