Kuchelewa kwa mvua maeneo ya Ndutu kumefanya Nyumbu kuendelea kuwepo eneo la Seronera

Kuchelewa kwa mvua maeneo ya Ndutu kumefanya Nyumbu kuendelea kuwepo eneo la Seronera

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Kuchelewa kwa mvua maeneo ya Ndutu kumewafanya Nyumbu kuendelea kuwepo eneo la Seronera, Serengeti ambapo mwezi ujao wa Februari na Machi wataanza msimu wa kuzaa 'Calving Season'.

Wachache wao wameshaanza kuzaa kwa sasa wakiwa Seronera.

IMG_20220109_121440_057.jpg
IMG_20220109_121443_537.jpg
 
Niliona last week nikashangaa sana kwamba inakuwaje mpaka sasa bado wapo huku kwetu na wengine walikuwa na vitoto vidogo?

Hii inaenda kuathiri population yao pia maana Hawa watoto hawataweza kusafiri kuvuka mto Mara kwenda upande wa Kenya.

Wengi watakufa njiani .
 
Mabadiliko ya tabia nchi yameenda hadi kuathiri ecology ya wanyama.......hizi ni nyakati mpya.
 
Back
Top Bottom